Header AD

Why Lady Jaydee Dumped her Husband?

header ads
Tanzania Sensation Lady Jay Dee has shared a painful recollection of the reasons she had to call it quits on her marriage. Speaking to East Africa radio, the Yahaya singer revealed that her husband, Gardner Habash was a serial ‘cheater’. To make matters worse, Gardner would get touchy with his lady friends even in her presence. She was already fed up of Gardner’s misdemeanor and decided to call it quits. Here is her post,

 “Hatuja achana niliamua kumuacha.Nimemuacha kutokana na kuwa Ndoa inatakiwa iwe na maelewano,furaha,amani na upendo.ila kwa bahati mbaya vyote hivyo havikuwepo,sikuwa tayari kuendelea kuishi kwa maumivu huku niki pretend ili kuiridhisha jamii.sioni kujishushia heshima,ila naona nilikuwa najishushia heshima zaidi kuishi na mume asie na heshima,anaeweza kutongoza na kushika wanawake makalio wakati mi niko jukwaani naimba.

Kuwapa mademu magari yangu waendeshe na kuyagonga wakati niko safarini. Ukiachilia mbali vipigo.Kutembea na wahudumu wa restaurant yangu.

Ushahidi ninao. …..niliwahi mkuta anawashika mapaja na akakiri kosa. bado kupigana na kuwatusi wateja pia.Kifupi ilikuwa ni ndoa ya mateso”.
Why Lady Jaydee Dumped her Husband? Why Lady Jaydee Dumped her Husband? Reviewed by Unknown on Thursday, September 08, 2016 Rating: 5

Post AD

header ads
Copyright © 2016 The Eastafricatoday NEWS | All rights Reserved.